Home NEWS & INFO NAFASI ZA KAZI | JOBS SEE HERE NAMES OF STUDENTS SELECTED TO JOIN FORM FIVE 2022, COLLEGES

SEE HERE NAMES OF STUDENTS SELECTED TO JOIN FORM FIVE 2022, COLLEGES

169
0
SHARE
WANAFUNZI

SEE HERE NAMES OF STUDENTS SELECTED TO JOIN FORM FIVE 2022, COLLEGES

Wanafunzi 153,219 wakiwemo wasichana 67,541 na wavulana 85,678 sawa na asilimia 91.8 ya wenye sifa, wamechaguliwa kujiunga na Shule za sekondari Kidato cha Tano, Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya Elimu ya Ufundi mwaka, 2022.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi OR -TAMISEMI Innocent Bashungwa wakati akitangaza matokeo ya uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ualimu na vyuo vya elimu ya ufundi mwaka 2022.
“Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa kidato cha tano utaanza tarehe 13 Juni, 2022. Hivyo, wanafunzi wote wanapaswa kuanza kuripoti katika shule walizopangiwa kuanzia tarehe 13 Juni, 2022. Siku ya mwisho ya kuripoti itakuwa tarehe 30 Juni, 2022,” Waziri Bashungwa.
Students selected to join form five and Technical Colleges 2022/23 academic year -Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga na Kidato Cha Tano  mwaka wa masomo 2022/2023, Vyuo vya Elimu, Vyuo vya Ufundi.

OFISI YA RAIS – TAMISEMI

ELECTION OF FORM FIVE STUDENTS AND INTERMEDIATE COLLEGES, 2022

CLICK HERE TO SEE A LIST OF STUDENTS SCHEDULED TO ONE SCHOOL

 

CHOOSE THE REGION YOU READ

ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA
GEITA IRINGA KAGERA
KATAVI KIGOMA KILIMANJARO
LINDI MANYARA MARA
MBEYA MOROGORO MTWARA
MWANZA NJOMBE PWANI
RUKWA RUVUMA SHINYANGA
SIMIYU SINGIDA SONGWE
TABORA TANGA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here